@muge27_ @Elgenio_alberto @MswatiKing_01 Ile ni just coincidence mzee, goli ni Kali sana lakini hakuwa na namna yeyote ya yeye kuutuliza mpira au kuupoozesha mpira zaidi ya kile alichokifanya kwa kuupiga vile.
@Gerry780000000@MasterMind65441@Chahali Umeongea vizuri ila umeharibu mstari wa mwisho, hiyo kazi sikuiz wanaingia mjomba kanituma bro, na sio kwaajili ya maslahi ya taifa just ni maslahi binafsi. Money oriented na hakuna kingine
Leo katika Kanisa Katoliki ni Dominika ya Matawi (Palm Sunday Mwanzo wa Wiki Takatifu) 🌿.
Neno la Mungu la leo linaangazia unyenyekevu, mateso, na utii wa Yesu kabla ya Pasaka.
Wafilipi 2:8-9
@Therealremmy004@kasesco_tz Ukimaliza ukumbuke vimaneno vyakoo na vi vocabulary vya theology uchwara havimuondoi mtu relini.
Watafute wasabato mu argue hiyo mambo.