@OfficialFad18 Diploma, japo inategemea na uhitaji wa nafasi ya kazi husika. Diploma ana chance kubwa kwasababu waajiri wengi wanaogopa kulipa pesa kubwa ya mishahara.
Kitu pekee nahisi naibiwa waziwazi ni hivi vifurushi vya internet haiwezekan jana jioni nilikuwa na GB 1, naamka asubuhi nimebakiwa na M'b 33! Jamaa wamevizia nimelala wamekwapua!
Kama ni shabiki wa Liverpool ,tafadhali usiamke wala usifanye chochote hadi pale tamko rasmi litakapotolewa, aidha niwaombe waajiri wote kuwa watulivu katika kipindi chote cha mapumziko.
#AFCONQ2023 Tanzania imepangwa Kundi F katika kampeni ya kuwania kufuzu #AFCON2023 nchini Ivory Coast ikiwa pamoja na Niger, Uganda na Algeria.
Timu mbili zitakazoshika nafasi za juu zaidi ndizo zitakazofuzu fainali hizo….
"Katika maisha, usijisahau na kufurahia sana kufanikiwa maana kufanikiwa ni tukio tu katika maisha, changamoto kubwa ni kuendelea kufanikiwa na kuishi maisha ya mafanikio." ~Togolani Mavura.
Akili kubwa ni kugundua wenzako wana vipawa gani, unafanya kila namna kunyanyua kipawa hicho kwa manufaa ya jamii nzima. Kuna vipaji vingi viko mtaani lakini vimekosa watu muhimu wa kuvishika mkono. Happy Birthday to Master Mind Ruge Mutahaba 🙏🏾🙏🏾🙏🏾