Mafanikio ya wale waovu kila kukicha yanavunja imani ya uadilifu kaka,ufujaji ukifugwa Kwa mda mrefu hata wema wanaanza kuamini ni mwenendo wa maisha,mfumo umenajisiwa..
Watu waadilifu kwenye hii nchi wapo, ni vile tuu wahuni ndio wameshika penye makali.
Hii dhana ya kuamini kwamba hakuna mtu mwenye uchungu na hii nchi ni hatari na ikemewe.
@MarekaMalili Na,hao ndio wanamkatisha tamaa mwema na kumfanya awe mhuni, mfano ngazi yako ya chini ukusanye pesa vizuri na kuzifikisha sehemu husika zikiwa salama alafu huko Hazina unaambiwa zimepigwa🚮
HIP HOP ni KULTURE ya watu Asili ya Kiafrika! Na ndiyo KULTURE inayoongoza kwa DISS SONGS! Hii inaashiria pia jambo fulani ambalo sio jema kwa watu wa Asili hii!
Ubinafsi na chuki, hatutaki tuendelee pamoja bali tunashindana kuendelea!
AFRIKA LIA!
#UpendoUtuongoze Tu 😆
@SundayCosmas4@chapo255 Chochote kipo, esp kama una fanya miamala mingi kwa siku, ikiwa mikubwa na chochote kinakuwa kikubwa, coz unaliowa kwa asimilia.
Ndio, ni nzuri ukifanya hivo, gani uwe na duka la bidhaa nyingine pamoja na hiyi miamala, ila uwe makini tu unapozichanganya na hela zingine.
@BarakaMaviatu Na zamani walikuwa wanathamini sana kwa sababu wasomi walikuwa wachache kwa hyo ukimaliza hata form 6 unafanyiwa sherehe kubwa kabisa😄, skuizi familia nzima wana masters na kuendelea ukimaliza degree hatustuki
Ila kwa malalamiko haya ya wananchi, iko siku watu wataandamana Automatically bila kuhamasishwa na Chadema wala mwanaharakati yoyote.
Serikali imeshatudharau wanafanya wanachojiskia.
Msisha gae Tar 24 waananchi wakajitokeza kusaidia jeshi kufanya usafi barabarani.
@VibeVolunteer Akilipwa utaona hizo hashtag anaupiga mwingi, mama yupo kazini na wana moja ya nyongeza inaitwa bolo limetembea..sijui huwa wanatembezewa na nani.
Tunaanza Msimu mpya wa #Theclassicefm Leo hii
One time for @mrnicetanzania on #Theclassicefm today ,moja ya wasanii waliotikisa Afrika ya Mashariki na majirani zake ..saa 8 kamili mchana wa Leo @efmtanzania
Cc @bongoflavahonors
@Djblackiie
Artwork : @nizosavage