@obio_mTz @Sukayotz Mbona haueleweki unaongelea ubora, au hakustajili au kuna tukio ambalo kwako ungependa litafsiliwe kivingine? Au ndio umeletq ushabiki mwenyewe
@hilomin_y@joewalter145@FKihamu Kwahiyo nawewe haujui ukweli kwamba wachezaji tegemezi waliachwa nje bila sababu... hadi umulikiwe na hilo ndipo kichwa kianze kuprocess?
@SportsarenatzTz tuanzie hapo vipaji vinapotea. je ni kweli vipaji vya kizawa vinapotea simba? reference ya kikosi kilichopita wazawa walikuwa wangap na wakigeni wangap? je idadi hiyo inalingana na timu kubwa Tanzania kama Yanga na azam? nani mwenye idadi kubwa ya kikosi cha kwanza kama simba?