@ByCardoJason Wew ukikopa 8m huw na 18m bro unakua na 8m tu 😀 ile nyingne utaichukua tu baada ya kipind cha fixed kikiisha na kama hukumaliza rejesho umedefot ndo kabisaa huipata hata baada ya kpind cha rejesho jifunze tu kufocus na kaz maana kama una changamoto ya focus hata ukikopa itapotea
@ByCardoJason Kwanin usitumie 10m kufanya hiyo biashara kuliko kutumia 8m kwa kurisk your 10m kama dhamana sasa 😀 kwasabab 10m haiwez kuzalisha interest inayoweza kucover rejesho la mkopo wa 8m kwa mwez ila ukishindwa kurejesha 8m kinachochukuliwa ni dhamana
@ByCardoJason Una 10m bank unakopa 80% of 10m inamanisha utapewa 8m na utarejesha marejesho ya 8m kama kawaida 10m ya kweny fixed ni kama dhamana tu haitok dhamana maana yake kwa kipind chote cha mkopo wew na bank iliyokukopesha mnaimilik hiyo 10m mpaka utakapomaliza mkopo wa 8m