@SportsarenatzTz Huyo Sama kaifanyia nn nchi yake? Zaid ya hizo ngonjera sijui mtanzania wa kwanza kufanya nini, hao akina CR na messi wanaheshimika kwasabb wamefanya makubwa kweny mataifa yao, huyo Samatta hajawahi ata kuisaidia team kuvuka ata makundi ya afcon hakuna anachokifanya acha uchawa.
@AbroadTanzania Hivi nuclear wanaijua au wanajua nuclear reaction? Hizo gamma rays wana uwezo wa kuzizuia? Au wanampango wa kutua na hizo radiations. Maana hapo lead ndo itaweza kuzuia. Maji na gas vimetushinda saiz tunarukia nuclear aya bana
@millardayo Mbona miaka yote hiyo ya chaguzi za nyuma hawakuwahi kukataliwa na wanachi km kipindi hichi? Hilo ndo swali la kujiuliza, ukweli unajulikana tu na wala wasitupiwe lawama hao raia wa Tz wanaoishi nje
@millardayo Mbona miaka yote ya uchaguzi tangu nizaliwe wasanii hutumbuiza kweny matamasha ya ccm, ishu siyo kutumbuiza kweny majukwaa ya siasa shida n kwamba hawasapot wananchi na wala hawakemei vifo vilivyotokea hapa nchemba sijui hakuelewa au n nn