Zamani Waziri Mkuu alikuwa inspired one katika Serikali au nchi anapohutubia Kila Mmoja alitamani amsikilize Waziri Mkuu anasema nini!
Lakini leo unajikuta unaumia ukimsikiliza Waziri Mkuu
Wasanii walizidisha kiburi hadi walikuwa wanatufokea kwamba tufanye kazi tuache kulalamika walidhani hatufanyi kazi...sasa na nyie fanyeni kazi acheni kutilia huruma, kama ambavyo mliona upande wa haki ni dhambi haya ndio malipo