@rose_mayemba Hali ilipofika ni kwamba hata wao hawataweza kuvidhibiti, huu ni uasi ndani ya nchi.
Inakuwaje serikali yenye vyombo vya usalama iruhusu ujinga huu kufanyika hadharani kwa lengo la kuwatisha raia ambao chini ya Katiba serikali inawajibika kuwalinda?