@EduTalkTz@SuluhuSamia Wazo lako ni zuri sana ila nadhani linahitaji maandalizi makubwa mno na bifsi naona anaeweza kulitekeleza labda raisi wa 3 hadi wa 4 kutoka huyu aliepo madarakani labda ungemshauri aanzishe huo mchakato na uwepo utaratibu ambao utamlazimisha kila atakaeingia madarakani aendeleze