@TommyFlavour Bila kusahau vanilla anaitaj saport kubwa kutoka kwetu fans anakitu anaonekana kabs maana sio kwaay magom shika ya vanl angeiimba ali ingefika mabil jaman vanill anaitaj saport
@TommyFlavour Mtu kama kiba ukitaja manyimbo kam aje yalienda sana kimataifa lakin sasaiv sijui imekuaj ananza kubishana kukaa trend wakat ilitakiwa mbishan kisa makolab ya nje sas iv marioo mmoja sawa na kings nzima kasol kiba mboso anafanyavizur kuliko kings nzm tunaitaji mambo mazur
@TommyFlavour Alafu mlivyo sasa utasikia kama unaona sisi atufanyi vizur nenda weweπ§ sasa kwan mziki anafanya nani kama meshidwa kwnda kimataifa mseme tuamie upande wa mondi
@TommyFlavour Huku ni nyimbo kali lakini kwenye ukweli lazim useme uwez kupeleka huku ata ikagombanie tuzo sisi tunajua est africa mmemaliza lakin mtushow kam memaliza est basi twenden kimataifa zaid na sio kwa ubaya
@TommyFlavour Sio kwamba atuwapendi ila kunawakati sis kama mashabiki tuseme ukweli kama mnabanwa kutoa nyimbo mseme maana sisi tunaumia kuona kina zuchu mbosso levo zenu kabis alaf wao wanatoa mahit nyie mnatuletea maneno na nyimbo za kusikiliza madem
@TommyFlavour Alafu na nyie kings mchangamke kutoa ngama kali bac maana kama ww tofauti na umukwano na nakuja unanyingine ya kutuambia kwamba umemaliza na uwefikia levo za mbosso
@TommyFlavour Mwambie alikiba atupe ata collabo moja ya njee maana tunamkubali ila anazingua sisi sio wakutolewa na ababalev trending atupe ata ya south kama za nigeria zimeshindika
@rollymsouth Leo nilikua naangalia top 10 ya nyimbo za kenya kiukweli nimetumia nguvu kubwa kuzielewa yani awaeleweki nakuusu swala la bato tunampa young lunya maana tukimpa fid qtutakuwa tumemuonea