BRO TO BRO
Kumsaidia mwanamke aliezalishwa ni bora zaidi kuliko kununua Malaya kila weekend.
Hii itakusaidia sana,kukupa heshima kama mwanaume kabla Dunia haijakukumbusha thamani yako.
SOMA TENA✍️
Dear Wanaume,
Kamwe usikubali mwanamke wako alipe Kodi
Kamwe usibishane nae, unaweza kubishana na mtoto wako?
Ukimsaidia kupata kazi, usitegemee kukusaidia majukumu
KUOA ni kumwambia Mungu kuwa nitakuwa Baba yake, Mume, Mshauri, Kiongozi, Mlinzi na Mtoa huduma.
Kaza Champ.
Nimemsikiliza kwa umakini sana ndugu yetu @FKihamu na nikagundua uwezo wake wa akili ni mkubwa sana na anao uelewa mpana kuhusu maisha.
Mungu azidi kumfanikisha tu, He is a good father📌📍
Dunia huwapa nafasi ya Juu na mafanikio Wanaume wanaothubutu kuchukua hatari zenye tahadhari, kufanya maamuzi magumu na kuyatekeleza kwa vitendo bila kukata tamaa. Sio wanaume ambao wenye aibu na walalamikaji.
Dunia haina huruma na Wanaume Dhaifu