@kigogo2014@IAMartin_@zittokabwe yuko wapi? Ila Zitto ana vituko ππ kwahiyo, huyu nae walifanya nae biashara ya siasa π Zitto akala chake kisha akamtelekeza njiani π
@JoyceMwalimu Asante kwa kuni-follow ila toka nizaliwe wewe ndiye mwalimu unayeipenda kazi yako aiseee. Una urafiki na wanafunzi wako sio kwa sababu ya #Mapochopocho wanayokuletea bali mapenzi ya Mungu yatimizwe! π