"Njia pekee ambayo Uongozi unaweza kutunzwa kama Uongozi wa watu ni pale ambapo Viongozi wanapokua na sababu ya kuogopa hukumu kutoka kwa Watu" J.K Nyerere
@CRDBBankPlc 1.Master Card au Visa Card ya CRDB
2.Crdb Wakala
3.SimBanking
4.Tawi la Benki ya CRDB
5.Huduma za kifedha za simu (Tigopesa, Mpesa, AirtelMoney, Halopesa, Tpesa n.k)