Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameeleza kuwa kuna haja ya kuwa na mikakati ya kuinua zao la Kahawa ili kuepuka mabadiliko ya mara kwa mara ya bei katika soko la Dunia, hali inayowakatisha tamaa wakulima wengi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akinywa Kahawa inayozalishwa nchini Tanzania na Waziri wa kilimo Hussein Bashe kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit)
BODI ya Kahawa Tanzania, imeendelea kuhamasisha jamii kuhusu unywaji kahawa.
Hamasa hiyo imetolewa leo katika uzinduzi wa Kampeni ya wapanda mlima na waendesha baiskeli wa Mlima Kilimanjaro.
Uzinduzi wa kampeni hiyo iliyolenga kupambana na kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi
Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mbinga ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Kisare Makori, wametembelea vitalu vya uzalishaji Miche bora ya Kahawa ambayo inatarajiwa kugawanywa kwa Wakulima katika msimu ujao wa kilimo.
#tcbnews#tanzaniacoffee
Deputy Minister of Agriculture Hon. Anthony Mavunde officiating the distribution of Three Million coffee seedlings to coffee farmers in Kagera region, a strategy cordinated by Tanzania Coffee Board to increase coffee production.
@tzagriculture @AnthonyMavunde
Tanzania ๐น๐ฟ beautiful islands of Zanzibar proudly enjoys its unique way of brewing and serving coffee by using a special handcrafted bronze jug commonly known as "Mdeli".
@tzagriculture
#tanzaniacoffee
โขKuhakikisha makampuni Binafsi ya ndani na Nje yanapewa leseni mapema kabla ya msimu na kutoa leseni za Muda mrefu kuanzia miaka 2-5 kutokana na historia ya kampuni
โขBodi ya kahawa na ushirika kutengeneza Mfumo utakao ruhusu uchakataji wa Instant Coffee angalau 20% kahawa kupitia kiwanda cha Tanica na Ammim Hamza
โขBodi ya kahawa kujenga Mfumo ambao mkulima Malipo yake hayatazidi masaa 48-72 baada ya mauzo