This man needed only 45 minutes to make all the employees and the jobless people to question their life decisions. Masenya, he is whoever he thinks he is. He is him ๐๐พ
NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU.
Mimi SIFI kwa magonjwa au ajali wala kwa mapenzi ya yule mwovu ama ya wanadamu. Mimi nitamaliza Safari yangu SALAMA na nitafikisha UMRI ambao BWANA amenipangia ili ATUKUZWE.!!!
Haleluya, YESU ni Mzuri sana.
Day 13
.
Kuna ile ambayo Mchungaji Carol akashika mic akaanza kuomba mpaka Apostle Urassa akabaki anamshangaa haaaai... Yule Mama aliomba jana aisee.๐๐พ Tulitakasika kweli chaaaah!
.
Usikose leo! Huu Moto hauzimiki.
Kama mme; ni heri nifunge siku 365 kuliko kuruhusu mke wangu alipuke mapepo kanisani. Yaani never! Nitambabadua humo ndani kila jumamosi, mpaka kieleweke. Huwa sielewi! Na sitaelewa and IT CAN NEVER BE ME!
Ninachopendea wanawake wa efatha; hapo wakimaliza wanatupangia viti vya ibada kama kawaida. Ukija kesho ibadani kama hawakuwa na jambo lao vile. Kumbe wamepewa na zawadi kabisaa...