Ninamfahaam mtu ni mtazania aliyesoma mpaka ngazi ya PhD nchini ujerumani. Aliporudi Tz akasoma short course VETA ya fundi uashi na akaongeza fundi kapenta Degree ya kwanza alisomea uhandisi.
As we speak anakiwanda cha kukata tofali za mawe njia panda na kazi za mbao.
Wagalatia 5:22, 23
Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Mliokuwa mnamtetea @SuluhuSamia mkasema tunambagua kwa sababu ni mwislamu, mzanzibari, mwanamke mko wapi?
Tena wengine tuliwaheshimu mkaleta huu ujinga!
Haya semeni sasa! Mzee Ali Mohammed Kibao vipi?
Katekwa na kuuwawa na watu wenye pingu waliojitambulisha kama polisi na Mama yenu kimya
Mtuombe radhi!
#TutaelewanaTu
Usimwache Mungu haijalishi unapitia magumu kiasi gani.Kumbuka Mungu ndiye mtetezi wa wanyonge.Iposiku waliokutenda mabaya watapewa stahiki yao isiyo na idadi na hata kama sio wao basi kizazi chao kitalipa,Kilagoti lililopigwa litajibu kwa wakati wake,ni swala la muda tuu. #amani
Nafsi zao zinatapatapa damu ya wanyonge inatesa mili yao. magonjwa na maumivu yasiyo na sababu ndivyo vitakavyo tawala familia zao. Maisha ni safari iliyona fumbo ndani yake. Mungu ni wetu sote lakini ni wawachache watakao muita..
Wewe mpambanaji mwenzangu usijielezee sana waache wajijibu wakatavyoona kwani hata ukimya ni jibu tosha na si vyema kunena mengi mbele zao,Ila kwa sasa achaa matendo yajielezee kwani ni swala la muda tuu.
Ukishindwa kuishi na familia ya X basi tena, hakuna mahali utaishi na watu. Weka handle na urepost uunganishwe na familia π₯π·πΉππΊ
Follow 4 follow
Mbinguni watu hatupimwi kwa muda wako ulio kaa kanisani walaah hupimwi kwa umri wako, Bali utapimwa kwa kiwango cha nuru kilichopo ndani yako ambayo ni ufunuo uliopo ndani yako .
Maisha ni FURAHA na AMANI, na kama hauna hivyoo basi wewe hauishi hata kama unapesa nying..cha muhimu ni kutambua tuu AMANI na FURAHA hailetwi na pesa. Ni wewe mwenye utakavyo yakubali maisha yako.