🚨🚀| Stop what you’re doing and find a replay of this Clatous Chama strike.
An acrobatic worldie just 9 minutes into the Kariakoo Derby in the Tanzanian League?! 🤯🇹🇿
@VungaEl74 Watu wengi wanasema tumepigwa😄
Lakini kwenye kubisha kwao wanaongelea oxygen sijui atmosphere,wanasahau kwambo hivyo vyote tumeambiwa na mzungu na hawasemi kwamba na hivyo tumepigwa
@privaldinho Usichokijua ukubwa wa bara la Africa kwenye ramani inayotumika umepunguzwa,bara la Africa sio dogo Kama linavyoonekana kwenye ramani inayotumika,na uhalisia wa baadhi ya mabara sio sahihi kwenye uhalisia ,kiufupi ukubwa wa bara la Africa kwenye ramani ya wakoloni sio uhalisia