Happy Birthday to me.
Namshukru Mungu kuniongezea mwaka mwingine tena impendeze tena na tena mpaka nishuhudie haki ya dhati katika nchi yangu Tanzania 🇹🇿.
Tutashinda.
#FreeTenduLissu#KatibaMpyaNiSasa
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi Mhe. @BrendaRupia akizungumza katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa operesheni #KatibaMpya#FreeTunduLissu Kanda ya Kusini, katika Jimbo la Nachingwea katika viwanja vya Mahuridi Majengo C.
Kwa kuna uhusiano gani kati ya maridhiano na katiba mpya ! Maridhiano kati ya nani na nani
Maridhiano hayo yanahusu nini
Maridhiano yakishindikana mustakabali wa katiba mpya utakuwaje
Ni mabadiliko ya katiba au katiba mpya ?
Which is which ??
Msafara wa Katibu Mkuu wa @ChademaTZ2 Mhe @jjmnyika ,umesimamishwa na Wananchi wa Kijiji Cha Chinongwe Jimbo la Ruangwa Mkoani Lindi.
Ikumbukwe kuwa,Katibu Mkuu anatarajiwa kuungana Na Mhe @HecheJohn katika Mkutano utakaofanyika Leo jimboni Nachingwea
#FreeLissu#KatibaMpya
Tip Of The Day:
1. The dangerous employee isn't smarter than you. He's just working with 3 assistants. Their names? AI, AI, and AI.
2. The new office flex is reducing a 5-hour headache into a 15-minute task.
3. Speed is the new discipline. AI just exposed lazy people.
Mapema leo msafara wa Katibu Mkuu Mhe @jjmnyika, umesimamishwa na Wananchi wa Kijiji Cha Chinongwe Jimbo la Ruangwa Mkoani Lindi. Katibu Mkuu na viongozi wengine wapo Kanda ya Kusini kuendelea na Operesheni #KatibaMpya#FreeTunduLissu.
The crowd that begged Moses to lead also complained in the wilderness. Human beings haven't changed much.
You know you've become a leader when people start blaming you for weather you didn't create.
"Jeshi la Polisi limkamate Kenani Kihongosi aliyesema anajua kuna kikao cha Chadema kimekaa mahali fulani kupanga vurugu, ili akaeleze hicho kikao kilikaa wapi na kinawahusu kina nani." Mhe. @jjmnyika
Kosa moja kubwa ambalo madikteta huwa wanafanya..
Ni kufikiria kwamba dikteta mmoja alieanguka:
1. Labda hakua makini au mbinu zake zilikua dhaifu.
2. Labda vyombo vya dola vya Nchi hiyo havikua makini kumlinda huyo dikteta kama ambavyo vinamlinda yeye.
3. Labda version ya udikteta wa yule alieanguka ni wa chini au wa kizamani sio kama wake.
Mwisho wa siku akianguka ndio anagundua kwamba yeye hakua na ujanja wowote kuliko wengine lakini inakua too late.
Dunia imeshuhudia Adolf Hitler, Gadaffi na familia yake, Mobutu Seseko, Omar Al Bashir na wengine wengi… tabia za binadamu zinafanana, hawawezi kukubali kuteswa na kudharauriwa na kikundi kidogo cha watu kwenye jamiii..
Udikteta wa ccm, una mda mfupi sana kwenye Nchi hii.
Hamuwezi kuua maelfu ya watu, then hamjutii wala kusikitika na bado mnatishia kuua zaidi.
Funny thing about office gossip... it dies of hunger, not arguments. The colleague who never attends the lunch-table parliament is usually the one accused of having an attitude. In some offices, refusing drama is treated like a crime.
Jana, Jumatatu, 15 June 2026 tukiwa njiani kuelekea mkoa wa Morogoro katika mwendelezo wa mikutano ya hadhara, Mwenyekiti wa CHADEMA – Kanda ya Pwani, Boniface Jacob alipokea wito na kutakiwa kufika Kituo cha Polisi – Oysterbay katika ofisi za Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Mkoa (RCO)– Kinondoni. Leo, tumefika kumsindikiza na amefunguliwa jalada la uchunguzi na amehojiwa kwa tuhuma za kuhusika kufadhili maandamano ya Julai 07, 2026. Amekana tuhuma hizo alizopewa. Ameachiwa huru.