Namuonaga Mungu kweli yupo kipindi Cha huzuni peke ake!!
Kwanini? Ndio napata gape la kukumbuka juzi alinifurahisha hata Jana! Alafu ni Zamu ya yule alie lia mimi wakati nafurahi🙏
Lakini ni sawa uhuru wa mtu tu sometimes, au ndio matakwa yake au ndio acsses zake zinazomueka comfortable, I don't know🤚
Ila naweza kukubadirikia hio appearance Kama tutadate na nikakupenda kinoma Noma! No matter what beib, utakua nilivyotaka✅
Ebwana na nakumbuka ilikua noma noma siku Ile, na mwana anavuta mashine skate lisit😂.! Daaah
Skumbuki iliishaje, ila from pale nilikua na Adabu na view ya maeneo ya watu, Bei kuuliza, na kua muelewa zaidi tunavyo elewa✅❤️
Ila Kama unaenda nenda tu brother"
Nikasema ngoja nilipe man, hapa mnalipa umeme, Kodi, usafi, nauli n.k kwahio wacha nilipe tu mzee, Sasa nikatoa like ki 3k maji nilikua sijabeba bado
So bro ananiambia hapa gharama yako ni 35k tips ni 3500(10%) 40k kasoro hivi..😂
5.
Nikasogea kulipa nilichokula😅, yaan kuvuna nilichopanda😂
Nafika pale bro ananiambia mwanangu nenda tu, we mwanangu (simfahamu) alafu situation Ile na Mimi pesa ipo kwenye budget Ni ladhima nilipe Ile bill mzee.
Bro akaniambia "mwanangu Kama unataka kulipa lipa!..
4.
Nikamaliza kula pale na budget yangu nikajisemea hapa nikijichomoa Sana at least hii msosi uwe 2500 as usual.
Nikaongeza na maji madogo alafu aje mdada nilipe bill!
Sasa wakat naomba mtu, saut moja ikaniambia kalipe mapokezi pale Kaka😅😂
Fresh nikasogea pale..
3.
Nikaingia pale mapokezi yakawa smart sana! Na nilipapenda kiukweli
So nikafatwa pale kujiandaa na msosi pale, nikavuta msosi amaizing kabisa, na ilikua ubwabwa nyama Kama sikosei. Sema nilinawa mikono na maji ya Moto😅
Basi nikiendelea kula pale na mfukoni nina 4k mkumbuke😂
2.
Actually ilikua poa sana nakumbuka, na Ina vi song flan which is good wanangu😅! Alafu pale mapokezi Kuna dada mmoja mnoma😅, Sasa Ile the way nipo addicted na tule tu sound sound twa nje..
Kijana wenu ndio nikaona this is place naweza kutulia hizi dakika nikatumia hiki ki 3k
1.
Nilikua maeneo flan dar eslaam, nimefanya mizunguko yangu vizur, na nimetumia pesa kinoma noma nakumbuka!
Bas nimebakisha balance ya 4k tu pale natakiwa Nile chakula, at least 3k then 1k inirudishe ubungo kihome home.
Basi nikapita restaurant moja hivi..
Kuna mtaa X nimehamia hapa, ila Niko mgeni. Sasa Leo tu nimeamka kusalimia majirani bana, wao et wananiuliza natoka mkoa gani😂. Yaan hiki ki mfumo et kimekaa ki mikoa!? Si Adabu just na Upendo fulan heavy tu😂
Nyie mnaishije huko?
Leo I don't judge yoyote anae lia kwasababu ya mapenzi, tuseme hii sio muhimu kwa mhusika kulingana na situation, ila nilishaga elewa kuwa kila mtu ako unique kitu ambacho kinafanya mapenzi kutokuwa jambo la kushaurika, hasa kwasababu halihusishi akili tuu🙌 trust me
Ney Ubuyu wa Kishua
Ubuyu ni mzuri ukimung'unya haumizi mdomo
Unapatikana kwa Ladha ya Vanilla,Chocolate na Pilipili
Nikisema Ubuyu wa kishua namaanisha wa Kishua kweli
Kwa 4000 tu unapata kiburudisho hichi
Jumla pia unapatikana
Delivery Dar na Mikoani tunatuma
0752228138
Ile season ya Mr White😅
Kile kipengele Cha Uzazi, HIV, cancer. Presha, homon n.k hawavi mention tujue men au girl anaondoka na kujua anatoka na mbaga ya Aina gani😅
Kwenye hio taasisi au sehemu yako ya kazi Kuna kijamaa kimoja hapo! Kinakosea kinoma, kina haribu! Kinaonywa per day!
Ila hukuti kamefukuzwa kazi!. Na kanavimba fresh tu! Na maboss wanakaelewa kuliko wewe😅
Defesio deal unaweza hisi Muhuni kachanjiwa. Kumbe ndio mmeko ivyo😅
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@Balyx_@DullahTheking2@MissChelsea1221 Nani mwingine anaamini zuchu na mshikaji Hamna ukwel wowote? Ni boundaries ambayo Ni trend na Kuna side amabayo inalipa kampuni maokoto? Nani?
Mpango wa mange najua Ni kivuruga! Ila deeply zuchu ana pay drama! alisaini maisha mengine kuongeza asilimia ya makato WCB! trust me ✅