@ReganTesla_ Dogo
Dunia inalizunguka jua na mwezi unaizunguka Dunia
Mzunguko wa Dunia siku 365,na Mzunguko wa Mwezi siku 28. So ikitokea Dunia na mwezi kwenye harakati zao za mzunguko wakajikuta kwenye mstari mmoja wa uelekeo lazima Mwezi ufikiwe na mwanga wa jua kwa kipande fulani.