Kwa sababu wanawake wanajuana tabia zao hivyo ni ngumu mwanamke kuamini mwanamke mwenzie katika malezi ya watoto wake.
Wanawake wanajua kabisa ni jinsi gani wanavyo treat watoto ambao sio wa kwao 😅.
Unadhani kwanini kuna story nyingi zaidi za mama wakambo wabaya kuliko za baba wa kambo wabaya? 😃.
@KennedyMmari@pyrantare Nahisi hii Issue ya kupunguzwa kodi kwa vyombo vya usafiri vinavyotumia nishati safi imepitishwa katika bajeti iliyosomwa juzi kati hapa.
Today is a very important day in the history of important days as it not only marks the 3rd day of the World Cup but also the 21st day since Arsenal won the premier league title but you knew that already.
Namba moja, tangu kuanzishwa kwa kombe la dunia mwaka 1930, kuna mambo mengi yametokea kwa mara ya kwanza mwaka huu 2026. Mashabiki, viongozi wa timu za taifa na hata sehemu ya jopo la ufundi kunyimwa visa huku vikosi vya baadhi ya mataifa vikicheleweshewa visa. Hii inaathiri competitiveness ya mataifa yanayoshiriki. Hivyo, hakuna aliyetarajia kuwa taifa lingeomba kuandaa kombe la dunia likifahamu taratibu zake kisha lianze tabia za hovyo kama hizo. Ni unprecedented.
Namba mbili, Tanzania haikwamishi mtengamano wa Afrika Mashariki. Hakuna taifa lisilopenda kutengamana ikiwa maslahi yake yamezingatiwa katika jumuiya hiyo. Tanzania, kwa miaka mingi inataka masuala yote ya msingi yamalizike kabla ya full-integration. Hii itasaidia kutunza jumuiya ja kusaidia isivunjike. Baadhi ya wenzetu wanaharakisha kwa sababu kuna immediate gains kwa upande wao. Lengo siyo ku-submit statehood kwenye jumuiya, lengo ni kuwa na Jumuiya inayochagiza maendeleo ya wote kwa maslahi ya wote.
Nine months. Not because it took that long to build, but because we refused to launch until it was built for the long term.
Today we are proud to announce the V3 of the @SerengetiBytes website, the third version in seven years of existence. We built our first in 2018. Our second in 2022. This one is for the next chapter.
It is available in seven languages: English, Kiswahili, Chinese, Russian, French, Spanish, and Arabic, and across four country domains: https://t.co/KhdN3TVhZi, https://t.co/WRaigrvc4C, https://t.co/d7BqbwFIsR, and https://t.co/bljOorULGI, with the Burundi version coming in Q3 2026.
We are also expanding our portfolio of services and products, and this website is the beginning of that story becoming visible.
We build slowly. We build deliberately. And when we ship, it is because we are ready.