@Jambotv_ Huyu jamaa siku hizi kama tapeli hivi
Kila siku ni kutoa tamko na ufafanuzi tu bila kutake action zozote kama kifungu cha sheria kweli kimekiukwa!😅
@IAMartin_ Kwasababu kuwa CHADEMA/ Mpinzani ni kwa lengo la kupata followers na engagements hasa hapa mtandaoni X na sio kwamba watu wako serious na hicho chama wala mabadiliko.
@EricoKimatu@1Maliga@SuluhuSamia Rais wote hao bado wapo madarakani na wanadunda👍
hamna kitu mmefanya na hata kuombwa msamaha hamjaombwa😅
mwende wa kupiga Hastags tu😅
kama vile ukisema RutoMustGo ndo anaondoka��🙌
@JuniorVent69006 @1Maliga@SuluhuSamia nipo nacheka tu nikiona watu wanatengeneza Memes wakihisi ndo zitamkomboa Activist wao😅
watu wamekaanae 4 days tu wamechoka wakatelekeza.
@Iamraphael13@1Maliga@SuluhuSamia Fanyeni na Tz sasa!
mnapiga kelele kwenye maji tu.
Activist wenu wamedakwa kama Grasshoppers na watu kitu mmewezA kufanya ni kutengeneza memes!😅
sasa memes zitamsaidia nani!?
@Roma_Mkatoliki Hata sio uoga!
ni kwakua wabongo tumeridhika na hali ilivyo.
Mara ngapi wananchi wanarise kwakufunga barabara na kuvamia vituo vya polisi kutokana na wingi wa ajali!?
Je tukio la askari kusababisha bajaji kuwaka moto!?
ukiona wabongo hawakusupport jua wewe ndo unazingua tu!
@Mwabuk2Boniface Wee mzee nae vifungu vingi bana!
kama umeona kuna ukiukaji wa sheria fungua mashtaka sio utuandikie vifungu hapa bila action.
kazi kuchonga domo tu, si uchukue hatua tukuone mwamba kaka!😅
@lifeofmshaba Saafi hamna noma👍
uzuri bado hao hao wa kimataifa wanampa mwaliko na wenyewe wanakuja nchini kushirikiana nae kwenye masuala mbali mbali!
@MarekaMalili@salim_alkhasas Ila Wakenya wakitengeneza Memes za kufedhehesha na kukejeli Taifa lako na nyingine zikionesha Rais wako Mtu mzima akiwanusu uchi sioni ukisema "This ain't Funny " Bro!?