Yaani Tanzania kupitia tume imeingia kwenye Maajabu ya Dunia.
Watu wenye umri wa miaka 14 kuendelea kwa mujibu wa sensa walikua 36,945,580 mwaka 2022 hata kama hajafa mtu tangu mwaka huo, inawezekanaje tume waandikishe watu 37,655,559.
Hao watu wanatoka wapi?
Uchaguzi unaporwa kabla ya kuanza,
Tume ya Mwambegele ni scam kwa Nchi.
Shameless people.
Nchi gani ambayo watu hawaoni aibu kufanya uovu na wizi.
#NoReformsNoElection
Chama chetu kitatoa taarifa rasmi yenye uchambuzi wa kina.
We dedicate our lives katoka justice. Kama watawala dhalimu mmeamua kutujibu Kwa bunduki na mabomu huku mkituteka na kutupoteza tuwahakikishie hatutanyamaza hata Kwa sekunde kazi yetu ni moja tu kuwakabili Kwa ushenzi wenu. @mdudenyagali@Mpigakura2020
Familia hi 👋🏿 Kuna wale jamaa wanatengeneza AI Videos za wazungu wako kwenye daladala wanaongelea NRNE, kuna hadi nyani/sokwe wanaongea
Please kwa unyenyekevu mkubwa mwenye connection nao naomba aniLink DM!!
Hata uhangaike vipi na vikaragosi vyako @SuluhuSamia huwezi kuzima nyota yake @TunduALissu
Hatma yake na njia aliyopangiwa na Mwenyezi Mungu ni ngumu ila USHINDI ni mkubwa
#FreeTunduLissu#FreeTunduLissuNow
T U N D U L I S S U 🔥
7th President of UR Tanzania 🇹🇿
You are working overtime @TumeUchaguziTZ 😁😁
Ila hakuna anayewaamini tunajua mmeandikisha hadi watoto wa shule na hamjatoa waliofariki
Fungueni database tuhakiki! Nje ya hapo ni uongo tu!
Zero legitimacy 🚮
#NoReformsNoElection
‼️🚨SAMIA CLOSES THE COMMERCIAL HALL WHERE CHRISTIANS WERE PRAYING🚨‼️
The Glory of Christ Church believers were praying in a hall that is usually commercially available for hire
Reports say after district commissioner Msando attended their gathering last week, this week in fury @SuluhuSamia has order the hall to be closed to the Christian believers!
These are the true colors of Suluhu and it is clear that Christian persecution will not stop as long as she is in power!
We endelea tu Bi Kizimkazi ila kila kitu chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho
Your fall will be spectacular - mark my words 🙏🏽
#TutaelewanaTu
Vipi Zoom call inaendeleaje @ccm_tanzania 🤣?
Mbona hamleti picha za Zoom call kuonyesha namna mnavyoendesha Mkutano Mkuu virtually?
Ila acheni ujinga wa KUTEKA! Na msituchafulie nchi zaidi mwachieni Mwabili Mwagodi
#FreeMwabiliMwagodi
Vipi Zoom call inaendeleaje @ccm_tanzania 🤣?
Mbona hamleti picha za Zoom call kuonyesha namna mnavyoendesha Mkutano Mkuu virtually?
Ila acheni ujinga wa KUTEKA! Na msituchafulie nchi zaidi mwachieni Mwabili Mwagodi
#FreeMwabiliMwagodi
2/2
Tatizo letu tukikutana na wanawake majini mkata-kamba, majini visilani, nyonya-damu, ambayo hutugeuza Sisi fursa, yaliyogeuza ndoa kama fursa ya tiba ya matatizo yao kiuchumi na umasikini
Huomba "bebi nitumie 50k ya vocha" naomba 300k niongezee
Mwishowe tunapambiana hivi
1/2..
Ikiwa kama ni hivyo,
Basi babu zetu na hata baba zetu wasingeoa, na pengine tungekuwa hatujazaliwa dunia hii,
Imeandikwa hivi,
"Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali cha Bwana"
Kwamba, maisha yetu yenye wingi wa neema, njia zake hufunguliwa pale ukioa.
“Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
Msajili mwenyewe na wasaidizi wake ndio wahaini na wanatenda uhaini kwenye Nchi hii.
Jaji Mtungi na Sisty Nyahoza wanachochea vurugu kwenye Nchi yetu.”
Mkt James Mbatia.