@Godfxer_fan Sasa hapo chadema inahusika vp. Kuna kitu lazma mjue polis walimkamata muuza nguo za chadema na walipola mzigo wote wa nguo za chama na ndio hizo zinatumiwa na wajinga wenzio hao
@Noedson_tz Kwamba imebadilika nini kwani unafikili kuwa Mwenyekiti wa chadema taifa ni jambo dogo ? Ukiacha ujinga Alio fanya Mbowe .
Pia lazma ujue hata Mbowe hakuchagua hiyo v8 alijikuta kapandishwa acha Usenge
@ISemwali@IAMartin_@freemanmbowetz Naona umetumia vizuri kufikilia kutumia Matako unapo mwongelea Mh. Mbowe ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu taifa .
Punguza ujinga huo Mbowe sio mtu baki kwenye Chadema
@MarwaIcon@IAMartin_@freemanmbowetz Hakuna anae mchagulia Mbowe .
Ila ukweli ni wazi Mbowe kaxingua sana
Kumbuka ni mjumbe wa kamati kuu wa kudumu. Ni muhim kama hataki kushiriki na chadema ajiondoe ijulikane wazi sio dhambi