Happy New year Tanzania.
2026 ni Mwaka wa kufocus kupambania haki ambazo wenzetu waliuawa wakizipigania.
2026 sio Mwaka wa kufanya maridhiano na wauwaji walioua Ndugu zetu na bado wanatushikilia na mtutu as bunduki.
2026 ni Mwaka wa kudai Katiba Mpya na uchaguzi Mpya, sio Mwaka wa kufanya maridhiano na wezi wa uchaguzi.
2026 ni Mwaka wa Watanzania wote kustay focus ili tupiganie haki na na sio Mwaka wa kurudi tena Kwenye upuuzi wa kutekwa akili na kiki na upuuzi we wasaniii. Please stay focused. Tukisharudi Kwenye umbea wa wasanii basi tumekubali kushikwa akili na Samia na genge lake la wauwaji. STAY FOCUSED
Tusiposimama pamoja kupinga dhulma mauaji, utekaji, ufiraji na ukatili - kila mtu atafikiwa
#J1 Tunatoka kudai Haki na maandamano ni bila kikomo
#SamiaMustGo#Tumeshinda🇹🇿
nisingeweza kulizungumzia vizuri hili kama alivyofanya jamaa hapa. sisi ni taifa la kunyamazishana na kutishana. ndiyo maana tukisikia mtu ametekwa tunasema, "yule naye alizidi." binafsi nawakumbuka sana watu waliofurahia nilipofukuzwa kazi. nawaona:
Samia sent thugs to shoot and kill this pregnant woman to retain political control.
She was shot from the back.
Her kid shouted “mama, mama, amka,�� not knowing she’s already dead.
Unforgivable. Unforgettable.
Samia Must Go Now.
Samia had to kill innocent Tanzanians during the #October29 ' General election 'so that she could announce herself as a 'legitimate' president.
@SuluhuSamia must be summoned by @CIJ_ICJ#SamiaMustGo
Inaumiza na KUKERA sana.
Afu anatokea MPUMBAVU mmoja anataka wananchi tuwe na mahusiano mazuri na polisi, yani wakipata ajali tuumie.
REPOST 200
#FreeNicodemusLoyore#TUTAKUWEPO🫵😎
This painting is called Deluge scene
A man trying to save his father & completely ignoring his wife & kid closest to him
The wife represents the present life, the son the future & the grandfather represents the past, which the man clings. Thus losing his present life and future
Hakuna mtu anaeweza kukwamisha watu kuja kutoa maoni….
Watanzania wanajiuliza kuhusu kuaminika kwenu Nyie tume… Kama Watanzania wangekua na Imani na nyie hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwazuia kuja kutoa maoni..
Watanzania wanajuliza je nyie mnaweza kuja na ripoti tofauti na ambacho aliewateua amekwisha sema?
1. Walioandamana walilipwa fedha
2. Wanatumiwa na walitumiwa na mabeberu
3.Sio Watanzania ni watu kutoka Mataifa ya nje.
4. Waliandamana kwa mkumbo tu hawajui walichokua wanadai na hata madai yao hayapo.
Je nyie mnaweza kutoa ripoti tofauti na mawazo ya hawa waliowapa kazi?