Jinsi Usanifu Bora wa Majengo Unavyoweza Kuongeza Furaha na Ustawi wa Nyumbani
Usanifu wa majengo ni sanaa na sayansi ya kubuni majengo, na una jukumu kubwa katika kuboresha hali ya maisha ya watu.
2. Sifa Muhimu za Nyumba Iliyosanifiwa Vizuri
Nyumba nzuri haipaswi kuwa ya gharama kubwa pekee; inahitaji mpangilio mzuri wa sehemu zake na kuzingatia mahitaji ya wapangaji
โ What I do to make at least 1M+ TZS monthly online as a solopreneur, content creator, and digital nomad in Tanzania
โ This thread isnโt proof of your success. Iโm not teaching you to be rich, just sharing my journey.
(๐งต) ๐๐พ
Unatumiaje Cแดษดแด แด kupata ๐ ๐๐ข๐๐ข๐ง๐ข ?
Cแดษดแด แด ni drag and drop tool kwa ajili ya kutengeneza kazi tofauti za Graphics.
Ni tool Fulani unajifunza wiki hii next week ukiwa serious unapata michongo miwili mitatu.
Ukweli ni kwamba Cแดษดแด แด ina potential kubwa kuliko tunavodhani.
Na potential ya Cแดษดแด แด sio lazima uwe Graphics designer ndo upate ๐ ๐๐ข๐๐ข๐ง๐ข.
Leo nitakuelekeza na mifano halisi (bongo na nje) unapataje ๐ ๐๐ข๐๐ข๐ง๐ข kutumia Cแดษดแด แด.
Kwanza sign up hapa
https://t.co/wJOm7n46dX
1. ๐๐ฏ๐ ๐พแดษดแด แด ๐ฉ๐๐ข๐ฅ๐ก๐๐ฉ๐๐จ.
โณKama wewe ni Graphics designer mzuri kama @vans_graphics , unajua principles za graphics designing, hierarchy, nk basi unaweza Anza kuuza Templates kwenye marketplace mbalimbali. Mfano
https://t.co/en92WuO91x
2. ๐๐ช๐ฌ๐ ๐พแดษดแด แด ๐๐ค๐ฃ๐ฉ๐ง๐๐๐ช๐ฉ๐ค๐ง
โณKama unatumia Cแดษดแด แด utaona Kuna templates nyingi sana, hizi ni designers kama wewe tu huwa Wana contribute, sasa Cแดษดแด แด ina watumiaji zaidi ya 100M, kila siku wanataka new inspiration, templates, n.k
โณ Ingia https://t.co/AqgQxZfFw6 Sign up. Kila mara mtu akitumia templates zako unapata kitu kidogo.
3. ๐๐ง๐๐ฃ๐ฉ ๐ค๐ฃ ๐ฟ๐๐ข๐๐ฃ๐
โณ Hii brother @bantukwanza anafanya sana. Ukitaka designs kama hizo nimepost mcheki
โณUnaenda kwenye Canva yako, unaDesign T-shirts, calligraphy, mugs, wall arts n.k
โณ Unaanza kupost social media, ukipata clients sasa ndio unaenda kuprint designs zako.
โณKama unaprint picha za mbao nakushauri uagize mbao nje from @mnunuzionline huwa inapunguza gharama. Lakini pia Kuna suppliers China wanaeza print design yako kwa Tshirts, vikombe, mbao n.k na ukaletewa kwa bei chini.
โณKwa nje wenzetu wanauza designs zao kwa majukwaa kama @Etsy@printify na @amazon
4. ๐๐๐ฃ๐๐๐ฃ๐๐ฏ๐ ๐ฟ๐๐๐๐ฉ๐๐ก ๐ฅ๐ง๐ค๐๐ช๐๐ฉ๐จ ๐๐๐ผ
โณKila kitu ONLINE ni bidhaa, unaweza kuwa unaitengeneza Inspirational quotes na Canva kama @swahilipiration walivoanzaga Leo wana startups zaidi ya 4 nadhani
โณAma tengeneza journals, calendars zenye picha za watu na makampuni, budget templates, n.k Unawauzia watu wanataka
5.๐๐๐ฃ๐๐๐ฃ๐๐ฏ๐ ๐๐ฝ๐ค๐ค๐ ๐จ ๐๐ฏ๐.
โณMaarifa sio Bure, mtu asiekulisha asikusumbue sijui kukwambia unaishi kwa kuuza eBooks. Anza Leo angalia kitu gani unakijua nje ndani, kama wewe ni Daktari Anza kudesign ebook cover, na contents zako ziweke fresh, design na Canva. Post contents kwenye social media page yako consistently hata mwaka, ukipata audience Uza eBook yako.
โณAu unaweza igawa Bure with the exchange of hao watu kukupa namba zao za Whatsapp, tengeneza broadcast list. Wakipenda contents zako watakuja tu kununua Products.
6. ๐๐๐ฃ๐๐๐ฃ๐๐ฏ๐ ๐ข๐๐ฉ๐๐ฃ๐๐๐ฏ๐ค.
โณKila siku Biashara mpya zinaanzishwa, waswahili wanasema biashara ni MATANGAZO, Cแดษดแด แด itakusaidia kuDesign hayo Matangazo.
โณNakushauri utumie Copywriting skills ama tools kama ChatGPT upate keywords nzuri za kuvutia kwenye matangazo yako.
โณAnza kuApproach business, content creators, n.k , Tuma kazi zako inbox ,wafanyie kazi BURE.
"๐จ๐ธ๐ถ๐ต๐ถ๐๐ฎ๐ท๐ถ๐ธ๐ฎ ๐จ๐ง๐๐๐ง๐ช๐" Kama asemavyo @nickyrabit
7. ๐๐๐ฃ๐๐๐ฃ๐๐ฏ๐ ๐๐ค๐๐๐๐ก ๐ข๐๐๐๐ ๐๐ค๐ฃ๐ฉ๐๐ฃ๐ฉ๐จ.
โณApproach artists. Anza hata kutengeneza Captions kama zile zinatrend TikTok za kina @alexhormozi n.k. watumie waanze kushare, unaweka watermark yako. "Ukihitajika UTAITWA"
Binafsi Nina Artist namfanyia hii so it's DOABLE
โณTengenezea watu Facebook page covers, X headers, Profile pictures, Grids za IG n.k
8. ๐ ๐ค๐๐ฃ ๐พ๐๐ฃ๐ซ๐ ๐๐๐๐๐ก๐๐๐ฉ๐ ๐ฅ๐ง๐ค๐๐ง๐๐ข
โณHii sikushauri ufanye kama huna audience kubwa ama hujui jinsi ya kupata audience
โณAffiliate marketing ni udalali yaani unarecommend mtu apate service au product Fulani ila kwa link yako tu. So Canva Wana affiliate program yao
โณIcheki https://t.co/OnGdFYKIVT
#ChatGPT imefikia Users million 100 toka ianzishwe
Leo nitakufunza michongo 100 online ambayo unaweza tumia ukiwa na ChatGPT.
Nina hakika huwezi kosa 10,000 tzs au zaidi kwa siku.
Unatakiwa kuwa na smartphone/ipad/tablet/PC na ujue kiingereza kidogo tu.
Shuka na huu UZI ๐งต
@sajo_mwaihabi Msanifu majengo tunachora ramani za nyumba na kufanya shughuli zote za ujenzi, wasiliana nasi kwa namba 0747513554 tunapatikana iringa mjini karibuni sana