church boyβͺβοΈ
sio swala lakupata muda
nenda kanisani kijana
funga
sali
maisha nivita mura
bila mungu hapa duniani
utakuwa msindikizaji
wawengine βοΈ
Ukimtongoza Mwanajeshi akiwa na Gwanda Zake una asilimia π― Ya kumpata maswali atakabaki nayo yeye kichwani huyu jamaa ana Confidence Gani ?, kanitongoza na Gwanda!
Hapa Umeshinda.
Mabinti Zangu wadogo ,ukishindwa kuishi kulingana na uhalisia wa kipato chako basi kila kiumbe kitalala na wewe π€£hata kijiko kingepata uwezo huo basi usingechomoka.
Matangazo ya Ndoa kanisani yameanza kuwa Mengi siku Hizi tena yanatajwa majina ya washkaji ambao tulikubaliana tusioe tukiwa kwenye nyumba za kupanga.
Tusubiri tujenge kwanza naona wameamua kunizunguka..!
Ukishatoa mchango wako wa harusi,
Wewe nguvu zako wekeza tu kwenye kula na kunywa..
Kama bibi harusi anampenda bwana harusi au anaolewa kisa pesa, hayo hayakuhusu.
Wewe hakikisha siku hiyo ukumbini unashiba.
Tupunguze kiburiii mara nyingi wanao chimba kaburii ni hawa wanao ombaga uwaungie buku au jero huku mtaani hao wenye Range unao wanyenyekea huwa wana kaa na simu zao tu.