Usikose kufuatilia Kipindi Maalum cha Redio VOS FM🎙️
📻 Kupitia redio VOS FM, 90.1 MHz
📍Sumbawanga, Rukwa
📌 Mada: FURSA SANA
Katika kipindi hiki tutajadili namna teknolojia na huduma za kidijitali zinavyoweza kuwa chanzo cha fursa mpya kwa wananchi, vijana, wajasiriamali na
WITO wa Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) Kanda ya Kati-DODOMA, Bw. Boniface Shoo kwa Wananchi kuhusu Umuhimu wa Matumizi Sahihi na Salama ya Mawasiliano ili kushiriki katika ujenzi wa Uchumi wa Kidijitali Tanzania.
.
.
.
.
.
#kweakidijitali#tzkidijitali
@mamgunda1@MabalaMakengeza Kiukweli tuache ushabiki, binafsi TCRA Wako mstari wa mbele katika kuhakikisha Mtumiaji wa huduma za Mawasiliano anatendewa haki na makampuni ya simu, Chukua walau dakika 2 pitia ufafanuzi huu waliutoa toka mei mwaka huu utawaelewa Vizuri TCRA https://t.co/SuEHFDOywm
@MabalaMakengeza Tunaimani sana na TCRA Wanafanya kazi kubwa sana katika kulinda Maslai ya Watumiaji wa huduma za Mawasiliano ndio maana baada ya sintofahamu hii mtandaoni Walitolea ufafanuzi suala la bundles toka Mwezi Mei huu ukiingia katika link hii kuna ufafanuzi wote https://t.co/SuEHFDOywm
"Waziri amesema wizara inakusudia kuzipa fedha NGOs ili yazunguke mikoani kutoa elimu juu ya Katiba ya mwaka 1977. Wananjombe na watanzania tutafakari jambo hili na tuyaambie mashirika ya kiserikali na NGOs kote nchini kutokukubali kuingia kwenye mtego huo" Mhe. @jjmnyika
1/2
“Chadema kwa kushirikiana na sekta binafsi itawawezesha wakulima kujenga maghala ya kuhifadhia chakula na pia Serikali itahifadhi chakula ili kuhakikisha kwamba kuna uhakika wa chakula nyakati zote.” Sera za Chadema Toleo la 2018
#SikuYaWakulima#KatibaMpyaNaHakiZaWakulima
Wateja mbalimbali wakiwa katika Banda la Shirika la Posta Tanzania, kwenye maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale, Mkoani Mbeya.
Msanii Mrisho Mpoto (Kulia aliyekaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, Mkoa wa Mbeya wakati wa maonesho ya Nane Nane Mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima, Wafugajii na Wavuvi (Nanenane) ambayo Kitaifa kwa mwaka 2022, yamefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini, Uyole, Mkoani Mbeya.
Msanii Mrisho Mpoto (Kulia) akipokea zawadi ya kutoka kwa Meneja wa Shirika la Posta Mkoa wa Mbeya, Bi. Liku Madaki (kushoto) wakati wa maadhimisho ya siku ya wakulima nane nane mkoani humo.
Linda Mawasiliano ya simu yako.
Hivi unajua laini zako zote ulizosajili? Cheki kupitia *106# kisha chagua 3, na rasimisha kwa kubofya *106# kisha chagua 5. Unangoja nini!
#KweaKidijitali#TzKidijitali
UJUMBE KUTOKA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)
"Endelea kukomesha MATAPELI, usimwachie, usipuuzie, mzuie kutapeli wengine. Tuma namba yake kwenda 15040 kutokomeza UTAPELI."
#KweaKidijitali#tzkidijitali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia akizungumza na Wananchi wa Mbalizi mkoani Mbeya mara baada ya kuzindua mradi wa maji safi wa Shongo-Mbalizi tarehe 05 Agosti, 2022.
📌 Mbeya.
WAKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA NA MLELE WAFURAHIA HUDUMA ZA SHIRIKA LA POSTA.
Leo tarehe 6 Agosti 2022, Shirika la Posta Tanzania limepata nafasi ya kutembelewa na Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Mhe. Onesmo Buswelu na Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Mhe. Filberto Sanga ambao