@official_throne @CXjuvy I just got in this app i am still learning hiw to navigate if you guys want to help out, i dream of a small sustainable dairy business in africa https://t.co/f0lAlKjZD9
@VodacomTanzania Mnafeli sana hata watoa huduma hawajui kusoma message vizuri na kusaidia chagamoto, naomba munisaidie kwenye comment section ili wengine waone shida zenu pia au huenda mtakua makini zaidi
@VodacomTanzania Mbona munakua muna mambo ya kisumbufu sana. Asahivi app ya Mpesa ukibadilisha line haifunguki. Na inakufungia kwa mda wa lisaa.. kwa walio nje ya nchi ni shida. Nawapa pongezi technologia zenu zinazidi kuwa imara kwenye kusumbua wateja na sio kihuduma
@VodacomTanzania Nawashkuru kunipa taarifa hizo ni kweli muamala ulifika japo umechelewa.. naombeni mulitatue hili tatizo la miamala litatuharibia kazi zetu
@VodacomTanzania Habari zenu. Kwanza nataka kuanza kwa kusema mnazingua sana hii ni mara ya tatu mwamala una feli na kunakua na dharura nimewatumia DM naona mnakawia kujibu. Naombeni munisaidie na huu mwamala kisha nihamie tigo #sirudi voda tena