Uhuru wa Peter Madeleka ni muhimu kuliko kitu chochote kwa sasa mtu alietishiwa kuuwawa, Kisha kukamatwa na watu wasio na Sare za Polisi ni hatari zaidi kuzani tukio hili ni la kawaida.
@JayleenRickie Katika historia za wa giriki waliamini ni mungu wa upendo, na yeyote aliyejikuta anapenda basi alikua amepigwa mshale wa moto na huyo mungu aitwae Cupid na hiyo ndio alama yake, story za willam Shakespeare plays zake amezungumzia hii hasa Amid summer night's dream
@sonnino123 Legend Moses Radio, aliyeunda kundi la good life akiwa na Weasle, ameacha nyimbo nyingi nzuri sana, kama Zuena, Bread and Butter, Talk and Talk, Machozi machoni, Nyumbani, Nyambura, Love you, Mr Dj, where you're ft blue 3, sweet lady, lessor, ring a bell, heart attack, etc
@Charllote100 @watunistory Tumeona mengi Janeth, natamani kuelimisha vijana wenzangu wakiume sio kila mwanamke lazima umuoe. Ila ikibaini ujauzito ni wako basi nenda kwa wahusika pindi wanapo kuhitaji eleza uhalisia wako. Hakuna wakukupiga. Utapata heshima ya baba hata kama huna hela.
@Roma_Mkatoliki Law of nature, ni automatism kama kupiga chafya.
Ukimchukua mwanadam ukamuweka msituni akaishi na wanyama akawaona wakitoka damu jinsi wanavyoumia anaweza kujua kua ukimdhuru mtu akatoka damu basi umemuumiza, ni haki yake kuchagua. Kua katili au mungwana
Ni mtazamonwangu tu
@rollymsouth Akawa anamsaidia rafiki yake kazi ya umachinga na akawa anapata pesa kupitia kazi hiyo na online selling. Anachokisema mwamba ni kweli kabisa na kinasikitisha.
@rollymsouth Baada ya Degree ya uwalimu Mlimani, mdogo wangu alitafuta ajira bila mafanikio, tulienda mpaka kwa baadhi ya wamiliki wa private schools, ambao nao walituambia walikua wanapunguza wafanyakazi kutokana na hali ya nchi kubadilika, dogo alikaa home bila ramani mpaka akaingia Kkoo