Ndani ya miaka mitano, magari ya mtumba yatapungua barabarani na magari mapya ya China yatatawala barabara zetu.
Wachina wamekuja kuchukua soko kwa nguvu zote. Magari ya Ulaya, Marekani na Japan yatabaki kuwa legacy cars kwa new buyers.
Tujipe muda.
@Hassansaid20171 Wapi nimekata? Meena ni mtangazaji ambaye sisi wasichana wengi tunamuangalia kwangu mimi She Deserves kuwa Mtangazaji bora wa kike sio Mtangazaji bora Chipukizi.