@Roselina1990 Tuanze na kiwanda chake cha samaki pale mwanza ilemela ambacho anaita kiwanda cha kuchakata samaki lakini kinazalisha barafu pekeake miaka kibao
@franklin_tissa Na hajakimbia nchi lakini kuna mtu kakimbia nchi akaomba ukimbizi kwenye balozi mbali mbali na hana sababu za msingi mbona mbowe alikomaa hapa hapa so tukubaliane waliokimbia walikuwa na agenda zao binafsi
@fatma_karume Ona huyu bibi naye kwani kuandika PHD ndio kujua kuongea English?!wewe unajua English mbona PHD hujapata ?!kama kingeleza nikusoma uingeleza wote wangekuwa na PHD nchi nzima
@HecheJohn Kweli paka akitoka panya wanafanya sikukuu ,huyu alifanya press nyingi wakati JPM akiwepo hakuwahi sema lolote kuhusu kulia lia kwake anakolia leo kwakuwa anajua hakuna wakukanusha vinginevyo ndio analewa konyagi zake huko anakuja kudanganya umma kuwa aliteswa😅
@usikumchana@bajabiri Kwa sasa zinamsaada mkubwa kila kitu kina wakati wake uwezo uliopo kwa sasa nihayo unaita madaraja ikifika wakati wa hizo za kisasa watafanya wataokuwepo
@HKigwangalla Tatizo lako ulijenga chuki ulivyotolewa maliasili nakuambiwa ulikuwa unaenda kula raha tuu kwa ndege za serikali hata ujikoshe vipi ulishachafuka kigwamatunguli!!