Vijana tunaona ni vyema muswada wa tume ya uchaguzi urekebishwe ili kuruhusu maafisa wa taasisi binafsi na umma washiriki katika mchakato wa uteuzi wa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi. Na isiwe taasisi za umma pekee #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi
Tunapendekeza kifungu cha 10 C(2) katika jedwali la tatu kiongeze mwongozo wa ushiriki wa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu katika vyombo vya maamuzi vya chama cha siasa #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi
Vijana tunapendekeza muswada wa uchaguzi kuweka ukomo wa muhula kwa udiwani na ubunge ili kuchochea ushiriki wa vijana na kuleta ufanisi zaidi katika uwakilishi wa kisiasa.
#MiswadaYaSiasaNaUchaguzi
Vijana tunapendekeza muswada wa uchaguzi kuweka
ukomo wa muhula kwa udiwani na ubunge ili
kuchochea ushiriki wa vijana na kuleta ufanisi
zaidi katika uwakilishi wa kisiasa.#MiswadaYaSiasaNaUchaguzi
Ni Rai yetu Vijana, kwamba kanuni za matumizi ya Teknolojia zizingatie Uwazi na Uwajibikaji katika chaguzi.zoezi la kuch-
ukua na kurudisha fomu, ushiriki wa
mawakala na utangazaji wa matokeo,vizingatie mfumo wa TEHAMA ili kuongeza ushiriki wa vjana #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi
Vijana tunaona ni vyema kukawa na
marekebisho madogo ya Katiba ya#Tanzania ibara ya 67 ili
umri wakugombea Ubunge na udiwani uwe
miaka 18 badala ya 21, kama ilivyo kwa umri wa kuanza
kupiga kura ambao ni miaka 18. #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi

marekebisho madogo ya Katiba ya #Tanzania ibara ya 67 ili umri wakugombea Ubunge na udiwani uwemiaka 18 badala ya 21, kama ilivyo kwaumri wa kuanzakupiga kura ambao ni miaka 18. #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi
Vijana tunaona ni vyema kukawa na
marekebisho madogo ya Katiba ya#Tanzania ibara ya 67 ili
umri wakugombea Ubunge na udiwani uwe
miaka 18 badala ya 21, kama ilivyo kwa umri wa kuanza
kupiga kura ambao ni miaka 18. #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi
Matumizi ya Tekno-
lojia yazingatie Uwazi na Uwaj-
ibikaji katika chaguzi. Mf. kutoa ajira kwa wa simamizi wa
uchaguzi,vibali vya uangalizi na
elimu ya mpiga kura, zoezi la kuch-ukua na kurudisha fomu, ushiriki wa mawakala na utangazaji wa matokeo. #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi

Muswada ya marekebisho ya sheria ya uchaguzi wa Rais,wabunge na Udiwani (2023) bado una nafasi ya kuongeza ushiriki mpana wa vijana katika uongozi na utawala bora.Mabadiliko ni sasa #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi

Tunapendekeza kuwa muswada wa sheria ya uchaguzi 2023 uweke kifungu mahususi juu ya mfuko wa
fedha za kusaidia uendeshaji wa kampeni
za wagombea vijana kati ya umri wa miaka
18 - 35 ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika kampeni za uchaguzi. #MiswadaYaSiasaNaUchaguzi
Asilimia 60 ya vijana waliotoa maoni wanapendekeza kuwa
umri wakugombea nafasi ya uongozi uwe
sambamba katikaKatiba ya Nchi na Sheria
za Uchaguzi na Ile ya vyamavya siasa, na
umri uwe ni miaka 18.
#MiswadaYaSiasaNaUchaguzi