@_ginimbi@nassor_01 Kaka ni kutafuta tu attention sio kama hajui,anajua ila ndio ivo tena watoto wakiume kama mabint ndio hao sasa wanapenda sana attention
@nassor_01@EQatare Sasa mzee tarehe yako yakuzaliwa kwenye kaburi ni yanini?au unafikiri huko kaburini kuna sherehe ya birthday?kama nyinyi mnaandika basi andikeni nyinyi,unajiafanya kushangaa nini sasa?unataka kila mnachofanya nyinyi na wengine wafanye sio?kila upande yafanye yake
@innos__@VungaEl74@AbroadTanzania Hivi sijui umechanganya madesa wewe au mimi,mimi nilikua namjibu mtu aliedhihaki Irani kufunga Mlango Bahari,ilikua ni miongoni mwa best tactics alioitumia kumdhoofisha adui zake
@VungaEl74@AbroadTanzania Mimi sijakuuliza nani katoa amri,nimekuuliza kwani huo mlango kabla ya marekani kuanzisha vita ulikua umefungwa au ulikua wazi/huru?