@Adventure_36 Arafu watu wengi hawakuwai kumshuhudia ngwair aki freestyle,ila alikuwa noma....mex wakati anaanza alikuwa mkali pia.... siku izi naona ameloose kiasi sijui shida ilikija alipo pata mwili kuwa kibonge... ila nahisi aliwekeza muda wake kwenye pengame kiasi