@KenyaRedCross@gina_din Kuna ufala naona hapa Kenya na tusipobonda hakuna kitu hupatikana Kenya kwa urahisi tushikane mikono tumalize ,ufisadi ,ukora,wizi was fedha na kuwashika wrote ambao wanahusika na mambo ya uvujaji wa fedha watiwe mbaroni ni wafunguliwe mashtaka #forward na Kenya tuitakayo,
@ntvkenya@janengoiri@SalimSwaleh001 Bado huo ni uongo watu wanakufa akisema hapa am wondering what kind of burjuaries does Kenya have they only but care about themselves high time we hold them accountable tumechoka.