β Verifying my account on @sunwaves_token with the nickname: "dagrada255".
π Bringing festivals to the next level on the #ION ecosystem with @ice_blockchain.
#SUNWAVES $SW $ICE
@mdudechadematz Nawaambiaga huyu jamaa ni sifuri mnanishambulia haya sasa kaisha kunya zoeni wenyewe mimi niko pale nimekaa @mdudechadematz sifuri maana yake hakuna kitu acha kujianika bado mapema sasa kama wewe ndo chawa wa CDM sijui sasa huko ndani wakoje
@mdudechadematz Sio kila jambo ni lazima uandike mengine kubali yakupite tu. Unafanya Wapinzani woote tuonekane mafala kwasababu yako !
Kitu cha kwanza ungejiuliza na kukifanyia home work ni kwanini Mh Rais anamteua huyo Mkurugenzi wa Puma ? Majibu ambayo ungeyapata wala usingekuja kuandika.
@dr_bashiru@SuluhuSamia CCM hakuna kiongozi wa kupokea kijiti kwa mama wote mnanuka harufu ya tamaa na uchu wa madara sasa tuacheni mama atupeleke tutafika tu msijali