Mbowe ni mpotoshaji na amleta taharuki katika jamii. K wa ufupi ni kwamba CHADEMA wanataka kugombanisha wananchi na viongozi wao, yani hawa wakishika madaraka hii nchi itapotea ndani ya siku 3 maana wamejaa ujinga ujinga tu akilini mwao.
Epuka wazushi.
Kumekuwepo na taarifa inayosambaa Mtandaoni ikionesha idadi ya wanafunzi walioambukizwa Virusi vya #UKIMWI kwenye vyuo vya UDSM, UDOM, IFM, SOKOINE na MZUMBE na kwamba Vyuo hivi ndio vinaongoza kwa Maambukizi ya VVU nchini
Ufuatiliaji wa #JamiiCheck umebaini taarifa hii iliyowahi kuchapishwa kwa mara ya kwanza kwenye Mtandao wa X, Novemba 3, 2023 na 'Akaunti' inayoitwa Tanzania Abroad TV, haina ukweli
Aidha, Novemba 3, 2023, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alikanusha taarifa hii na Novemba 4, 2023, Ukurasa rasmi wa Wizara ya Afya kwenye Mtandao wa X ulithibitisha kuwa ni za Uzushi na kuwataka wananchi waipuuze
Soma https://t.co/KoCyui5a2h
#Misinformation #Disinformation #HakikiTaarifa #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck