@mshambuliaji@OKumwembe Binafs ambacho hakinishtui Ni kwamba Senzo aendi kucheza uwanjani atabaki jukwaan tuu kama Watu wengine ....
Halaf najiuliza Yanga anaenda kuwa na cheo gan ilimradii Yanga hawajaingia kwenye system kama ya Simba rasmi .......
Ngoja Tuone