kuna siku utaamka ukiwa mchangamfu mzima wa afya utawakumbuka sanaa washikaji ulio soma nao na hata ku hustlle pamoja baadhi utawapigia simu kuwasabai ila usiku utafika na Mungu atakuchukua🤕
Mke anajua mume lazima awe na hela, mtoto anajua baba lazima awe na hela, baba anajua hana hela.
Siku za furaha kwa mwanaume ni chache nazo zimejaa taabu.