@mshambuliaji Inasikitisha sana kuona upotoshaji wa hali ya juu unaofanywa na Hando, statement inasema “kuweka mazingira sawa ya ushiriki kwa vyama” yeye anaongelea ukoloni maboleo.
Step-by-Step: The Catholic Church after the death of a Pope
1. Confirmation of Death
The Camerlengo (Chamberlain of the Holy Roman Church) officially confirms the pope’s death.
Traditionally, he gently calls the pope’s baptismal name three times. If there's no response, he declares the pope dead.
@CarolNdosi Financial freedom ya mabinti ambao uchumi wao mkubwa ni wanaume tena akina "DADYY" ni kamzozo kakubwa. Keep on preaching dada, Labda siku moja muujiza utatokea.
If you think all oil is created equal, you're wrong.
That's like saying all wine tastes the same.
The quality difference is creating massive wealth gaps between nations.
Here's why some oil-rich countries can't keep up & escape poverty:
Chanzo cha Mgogoro wa Congo
Akizungumza katika mjadala ulioandaliwa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam, Balozi Liberata Mulamula amechambua mambo yanayoisumbua Congo:
1. Ukubwa wa nchi na idadi ya watu
2. Utajiri wa nchi ya Congo na jiographia yake
3.Historia ya kiungozi.
Mulamula alikuwa katibu mkuu wa kwanza wa Kongamano la kimataifa la maziwa makuu. Kongamano lililoundwa kwa ajili ya utatuzi wa kudumu wa mgogoro wa Congo.