Mozambique wana uchungu na wananchi wao waliokamatwa na wengine kufukuzwa nchini Africa Kusini wamezuia malori elfu tano ya Africa Kusini kupita nchi mwao Botswana wanafuatia
Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐️
#OnThisDay in 2⃣0⃣1⃣9⃣ we visited Tanzania to face Simba SC in a friendly 🇹🇿
An unforgettable experience sharing football and friendship with our Tanzanian friends ❤️🤍
Tayari dunia imeanza kulipost goli la Clatous Chota Chama huu ni Ukurasa wa Total Football kutoka nchini India 🇮🇳 hawakuwepo Mbweni ila dunia tayari imeona na wao wameweka kichwa cha Habari;
“Puskas Contender from the Tanzania Premier League”
Tayari goli limefika duniani na FIFA kazi kwenu kuchakata maoni ya Wadau kuhusu kamba hii ya viwango kuanzia namna tulivyodumbukiza mguu mzima wa Mtoto hapo😀
TANZANIA YAPEWA MAUA
KULINDA HAKI ZA BINADAMU
Geneva, Uswisi
Wakati mwenendo wa hali ya haki za binadamu baadhi ya mataifa duniani ukiwa mbaya; Tanzania imemwagiwa sifa kuwa na mwenendo mzuri wa kushughulikia haki za binadamu.
Sifa hizo kwa Tanzania zilitolewa na Kamishina Mkuu wa HRC, Volker Turk katika Hotuba yake ya Ufunguzi kuhusu Hali ya Haki za Binadamu Duniani, wakati wa Kikao cha 61 cha baraza hilo, kilichofanyika Geneva, Uswisi.
Katika hotuba hiyo iliyosheheni rekodi ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu duniani ikiwemo Marekani, Kamishna Turk alisema baraza hilo linatambua na kuthamini hatua zilizochukuliwa na Serikali ya Tanzania za kuanzisha Tume ya Uchunguzi kufuatia vurugu zilizojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025
Hatua hiyo ya Tanzania kutajwa kwa sifa hizo nzuri na Kamishina Mkuu wa Haki za Binadamu Duniani; inaendeleza rekodi na taswira nzuri ya kuwa kisiwa cha amani na utulivu.
Tayari wafuatiliaji wa masuala ya haki za binadamu duniani wameshauri matokeo ya ripoti hiyo ya Tume yazingatie misingi na juhudi za kutekeleza haki za binadamu, mambo ambayo yanatarajiwa kuzingatiwa kutokana na uhuru na weledi wa wajumbe wake wakiongozwa na Mwenyekiti Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed Chande.
HALI ILIVYO
DUNIANI
Tanzania ikisifiwa, mwenendo wa haki za binadamu umetajwa kuwa mbaya Marekani, ambako operesheni dhidi ya wahamiaji haramu imetajwa kuendeshwa kwa kukiuka misingi ya haki za binadamu.
Iran, imechomoza kuwa na hali mbaya ya haki za binadamu huku ikitumiwa kukandamiza waandamanaji na kuwahukumu kifo wakiwemo watoto.
Kwa wasioelewa dressing code ya Kanisa Katoliki: Rangi ya SHEREHE (Festive Colour) ni NYEUPE. ZAMBARAU na NYEUSI ni rangi za KUOMBOLEZA/TOBA.
Hivyo Padre kuvaa Kanzu nyeusi na Stola ya ZAMBARAU siku ya kuapishwa kwake ni kuonyesha hakuwakilisha Kanisa kwenye sherehe bali MSIBA!
If you want #Peace, prepare institutions of peace. This doesn’t refer only to political institutions, whether national or international, but to the entire forum of institutions – educational, economic, and social – that are involved.
Bara la Afrika linatoa ushuhuda mkubwa kwa ulimwengu mzima. Asante kwa kuishi imani yenu katika Yesu Kristo. Ni jinsi gani ilivyo muhimu kwamba kila mbatizwa ajisikie kuitwa na Mungu kuwa ishara ya matumaini katika Ulimwengu wa leo.
Ukiangalia Makundi ya Shirikisho kwa harakaharaka kwa kuzingatia historia na sio uhalisia unaweza kuona Simba kama ipo mikono salama kutinga Robo fainal ila kama unakuwa serious na kuangalia hali halisi bila mihemko utagundua Simba ana kundi gumu na ajikaze ili kutinga Robo.
Muonekano wa Uwanja wa Klabu yetu ambao unatarajia kujengwa katika Makao Makuu ya Young Africans SC Jangwani kwenye eneo la Uwanja wa Kaunda ukitarajiwa kubeba mashabiki 15,000 hadi 18,000.
#MkutanoMkuuYASC2023#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko