@Jambotv_ Hapana. Hawa watoto mara kadhaaa nimekutana nao na nimelipoti marakadhaaa vituo tofauti ikiwemo msimbazi police, na mpaka kwa DCA. itungwe sheria hii itambulike kama ni kitu haramu, kama ilivyo unga na bange kwani jamii inateketea huku tunaiona.
Mh!!!! DCA peleka pendekezo bunge
@SentPastor53860@Sativa255 Usijidanganye, kama maneno yako unayoyasema yangekuwa na tija basi neno shule lisingekuwepo. Ukiwa na elimu unawza mbele zaidi coz kuna hayo maisha + elimu = interigent
@swahilitimes Eleweni kiswahili sio idadi ya watu hiyo, bali hiko ni kiasi ambacho hospitali ya taifa muhimbili imetoa misamahaa kwa wagonjwa,
Ama hakika ni fedha nyingi mno ipo haja yakuangalia hii misamaha inaondolewaje.
Pongezi kwako mh waziri @Jenista_mhagama.
@SuluhuSamia Pongezi nyingi sana kwako mheshimiwa raisi, hakika Tanzania sasa imeupiga mwingi kila kona kuanzia kwenye afya, barabara, umeme, elimu, , maji, etc.
@SuluhuSamia Binafsi, nashukuru kwakukutana na mwalimu mzuri katika masuwala ya kiuongozi, hakika prof janaby ni mtu asiye na makuu, WHO wamepata chuma cha kazi.
@SuluhuSamia Baadhi ya mambo ya prof janabby
1. Ni mtu asiyeyumbishwa hata kidogo kwenye msimamo wake.
2. Anamini kwenye usawa kwanzia kwa mtu wachini mpaka wajuuu, nimtu anaetambua kuwa pasipo kumjali mfanyakazi huwezi kupata kazi nzuri.
3. Nimtu anaejali mazingira bora yakutolea huduma,