Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila ametangaza rasmi kujiunga na Klabu ya Young Africans (Yanga), akisema uamuzi wake umetokana na imani aliyoipata kutokana na Uongozi wa klabu hiyo.
Chalamila amesema awali alikuwa na mashaka kuhusu uongozi wa Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said lakini kwa sasa ameridhishwa na namna klabu inavyoendeshwa.
“Mwanzo nilikuwa na mashaka na urais wako, Injinia Hersi lakini sasa nimejiunga rasmi nikiwa naamini nipo mikononi salama, pia ujio wa Peter Shalulile ndiyo umenifanya nijiunge na Yanga,” amesema Chalamila.
#MillardAyoUPDATES
@emadebway@018Salama Group lilikuwepo ila mambo yalikuwa meng watu walikuwa wanaleft, wanabaki amateurs tu bila mwongozo wowote, ila ni vyema kukawa na group
@emadebway@Nana_nasmah Kazi nzuri kaka, sijajua pencil unazotumia ila ongeza darkness kwenye michoro yako iendane na uhalisia nadhan ungekuwa una_apply layers ingekuwa nzuri zaidi otherwise kazi nzur sana Mungu abariki kazi ya mikono yako✨️✨️