@Gisiggo@MSalimu@MarekaMalili Anayejitoa uhai sio mbinafsi, Bali society members ndio wabinafsi hawajali pain anayoipitia wanajali tu vile hiyo suicide itakavyowatesa wao
@Maichagange Kuna jamaa yangu alikua anafanya kazi kiwanda cha sayona akaachishwa ghafla kuna siku tupo Mwenge nikanunua maji ya sayona mawili moja nika mpa moja akayachukua akaweka chini aliyapiga teke kidogo yafike mzena 😂😂😂 akasema nikinywa haya maji nife 😂😂
Kwenye Millennials 10 popote pale lazima kuanzia 7 wameshawahi kutapeliwa😂😂
“Chupa kama madini”
“Sabuni kama simu”
“Leta mwenzako na yeye alete mwenzake”
“Ukiwekeza Laki unapata af kumi kila siku”
Wanetu mnang’amua mambo kwa kuchelewa sana Mungu awasaidie asee🙏