Kuna majira flani kwenye maisha yako ambapo namna pekee ya kusaidiwa uende mbele ni kuacha na mtu uliyedhani anatakiwa kukusaidia au kusima na wewe nyakati zote Kuna baadhi ya watu ambao MUNGU Anawaweka mbali nawe ili akusaidie kujenga Ujasiri & Misuli ya kupambania ndoto zako.
1 Wakorintho 6:19-20
๐Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; Maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.
Wakati mwingine Allah hukupatia watu fulani kwenye maisha yako kwa kusudi la kukuangisha,ili tu kukufundisha kwamba kamwe usimtegemee mwanadamu isipokuwa Allah pekee
Fikilia ulipotoka na hapo ulipo bila Mungu we si kitu,hatuheshimiki mbele zao sababu hatuna pesa๐๐ lakini Mungu pekee anaziona juhudi zetu Ee Mungu tusaidie tunaamini Neno lako linatutia Nguvu ๐๐๐คฒ
Mithali 11:12
Asiye na akili humdharau mwenziwe;
Bali mtu aliye na ufahamu hunyamaza.
He that is void of wisdom despiseth his neighbour: but a man of understanding holdeth his peace.
We uliezaliwa mwanaume elewa kwamba kitu pekee mwanamke anachokiona kwako nikukuona umefanikiwa na si muonekano wako
Weka juhudi ukimutanguliza Mungu yeye pekee ndiye atupaye Nguvu za kupata utajiri๐ธ
Usimfanye MAMA atoe chozi sababu yako hata kama kakosea we mvumilie Mara nyingine tuwajibu vibaya MAMA zetu lakini kwa badae tukikaa nakufikilia tunaumia ๐ญ๐ญ๐ญnakutambua tulikosea na hatuombii msamaha Lakini MAMA hachoki kukupenda na kukuombea ufanikiwe.