@MariaSTsehai#Mariaspace hii mada yale sijui kama tutasikilizana kweli kama namuona Nape kasoma hii post lazima kutakuwa na makombora ya kuitungua Mariaspace. Ee Mwenyezi Mungu utusimamie siku zote za uhai wetu amini ๐๐๐
@ortamisemitz Hรฌi serikali ya mchongo sana,yaani serikali inaumiza kichwa eti mkuu wa wilaya anunulie gari ingali bado tuna shida za muhimu sana. Hakika hii nchi ina serikali dhaifu sana
@HusseinBashe Samahani waziri wa kilimo bashe,naomba niambie kwenye hilo kongamano umetumia shiling ngapi? Maana mimi mlipa kodi naumia sana kuona hizi kongamano, inajirudiarudia kwenye hii wizara hakuna tunachopata zaidi ya maneno tu
Nimeongea na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, KANGETA ISMAIL kuhusu kutoa MSAADA wa Kisheria kwa WANACHAMA wa CHADEMA kutoka MUHAMBWE ambao wameachiwa Kwa DHAMANA jana na Mahakama ya Wilaya ya KIBONDO kwa Kesi ya KUBAMBIKA.Kesi hiyo itaitwa Mahakamani tarehe 3 Mei 2024
@IAMartin_ MMM muhimbili kwa sasa sio hospital ya serikali ni hospital ya ccm, unampeleka mgonjwa emergency atapimwa vipimo vyote na utalipa akipelekwa ward anapimwa tena vipimo vilevile na unalipa tena. Hali mbaya sana
@HusseinBashe Unamanisha watu wa Nzega wote wanajua kiingereza,basi sawa kwenye kampeni uombe kura kwa lugha hiyo hiyo. Kiongozi na mwakilishi wa wanainchi huu msipende kutumia lugha ngeni sisi ni kiswahili
@Twaha_Mwaipaya Hakika viongozi wa dini wapo pamoja na ccm cha ajabu wakija kwa waumini wanaubiri michango ili wajenge nyumba za ibada. Hatuna viongozi wa dini kabisa ni wajinga tu.
@godbless_lema Umeeleza vzr mwenye sikio asikie na mwenye macho aone. Bila shaka serikali ya ccm ni dhaifu sana,hakuna tofauti na hadithi za mfalme JUHA