Crama Cashew butter mtu yoyote anaweza itumia hata mwenye sukari
Maana
its regulates blood sugar,
help with weight loss
#cremabutter#chicaorganic#chicaseamoss
Seamoss powder (Mwani wa unga) unaweza kwenda nao popote na una weza kuutumia katika chakula chako , chai , juice, yogurt,smoothies na zaidi.
#chicaseamoss
@chicaseamoss
#seamosspowder#drsebi
Kido oats uji tayari , uko tayari kwa kuliwa haipikwi , unaweka kiasi unacho hitaji kwenye bakuli kisha unaweka maji ya moto au maziwa ya Moto kisha unakoroga unaweza kuongeza sukari kidogo au asali tayari kwa kunywa karibuπ
#kidooatspowder#chicaorganic
@chicaseamoss
Tasty homemade granola nzuri mnooo tujaribu na hutojutia , granola yetu haina mchanganyiko wa chemical wala artificial colors au ladha kila kitu ni organic.enjoy our organic and healthy products
@chicaseamoss
#tastygranola#organic
Crema peanut butter hii haijawekwa chumvi, wala kuongezewa sukari au mafuta. Ni natural π― na kubwa kuliko ni kuwa butter yetu haigandi kama nyingine lainiiiii na tamu kwa matumizi yote @
#chicaorganic#peanutbutter
@chicaseamoss