@DaimuManafi Hivi kwenye sheria,msaada..moja wao wa shaidi wa ngazi za juu akaamua kuotoendeleza dhambi ya uongo na hapo hapo kizimbazi akasema Lisu si muhaini tunamsingizia tu kwa sababu za kisiasa....vp kesi inaweza kuisha hapo hapo au kuna taratibu nyingine?