@tanescoyetutz siku ya pili hii hapa Tanga maeneo ya Kange hakuna umeme mnadai transformer, kwa kesi kama hii tulitegemea iwe issue ndogo sana kuwa solved, mnajua mnatesa watu kiasi gani? Two days huu ni upuuzi na ujinga wa hali ya juu kwa shirika kama hili.